MyDiary

My Daily encounters

Friday, 13 July 2018

Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - lyrics



[Verse 1]
Hhhmm
Kama Unanipenda sana
Umaarufu weka Mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze Madale
Isiwe kesho madrama
Napigiwa simu na Tale
Hadi Insta natukanwa
Umeshaanzisha kwale

[Bridge]
Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau

Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina

Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe


[Chorus]
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
Posted by Unknown at 01:16 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Pages

  • Christian Inspirations
  • Jobs and Opportunites
  • Sex and Relationships
  • Chat Room

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2018 (1)
    • ▼  July (1)
      • Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - lyrics
  • ►  2017 (10)
    • ►  October (8)
    • ►  February (1)
    • ►  January (1)
  • ►  2016 (1)
    • ►  December (1)
  • ►  2015 (1)
    • ►  January (1)
  • ►  2014 (5)
    • ►  November (5)
Picture Window theme. Powered by Blogger.