Friday, 13 July 2018

Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - lyrics



[Verse 1]
Hhhmm
Kama Unanipenda sana
Umaarufu weka Mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze Madale
Isiwe kesho madrama
Napigiwa simu na Tale
Hadi Insta natukanwa
Umeshaanzisha kwale

[Bridge]
Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau

Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina

Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe


[Chorus]
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama

No comments:

Post a Comment